Bocco kuwakosa Burundi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Oct 2020
Bocco kuwakosa Burundi

Nahodha wa Simba John Bocco hatakuwa sehemu ya kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' ambayo Jumapili itashuka kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Burundi ukiwa ni mchezo wa kirafiki ulio katika kalenda ya FIFA

Kocha Mkuu wa Stars Etienne Ndayiragije amesema Bocco bado hajapona sawasawa majeraha yake hivyo hatamtumia katika mchezo huo

Bocco alianza msimu vizuri lakini alipata majeraha kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mtibwa Sugar

Amekosa mechi tatu za Simba dhidi ya Biashara United, Gwambina Fc na JKT Tanzania

Alikuwa miongoni mwa wachezaji saba wa Simba walioitwa kwenye kikosi cha Stars kwa ajili ya mchezo huo dhidi ya Burundi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’