Jana timu ya Taifa ya Rwanda iliweka hadharani majina ya wachezaji wa kikosi chake ambao watacheza mechi za kirafiki wakati huu wa mapumziko ya kalenda ya FIFA
Mfungaji bora mara mbili mfululizo VPL Meddie Kagere ambaye msimu huu tayari amefunga mabao manne, amejumuishwa katika kikosi cha timu hiyo
Kwa maana hiyo Simba sasa itakuwa imetoa jumla ya wachezaji 12 walioitwa timu za Taifa
Wachezaji hao ni Aishi Manula, Shomari Kapombe, Mohammed Hussein, Joash Onyango, Jonas Mkude, Mzamiru Yassin, Said Ndemla,Β Clatous Chama, John Bocco, Luis Miquissone na Meddie Kagere
Hii ndio timu ya Kimataifa sasa..!
ADVERTISE HERE