Kagere aongeza idadi ya maproo waliotwa timu za Taifa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Oct 2020
Kagere aongeza idadi ya maproo waliotwa timu za Taifa

Jana timu ya Taifa ya Rwanda iliweka hadharani majina ya wachezaji wa kikosi chake ambao watacheza mechi za kirafiki wakati huu wa mapumziko ya kalenda ya FIFA

Mfungaji bora mara mbili mfululizo VPL Meddie Kagere ambaye msimu huu tayari amefunga mabao manne, amejumuishwa katika kikosi cha timu hiyo

Kwa maana hiyo Simba sasa itakuwa imetoa jumla ya wachezaji 12 walioitwa timu za Taifa

Wachezaji hao ni Aishi Manula, Shomari Kapombe, Mohammed Hussein, Joash Onyango, Jonas Mkude, Mzamiru Yassin, Said Ndemla,Β  Clatous Chama, John Bocco, Luis Miquissone na Meddie Kagere

Hii ndio timu ya Kimataifa sasa..!

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’