Wanne Simba wacheza dakika zote VPL

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Oct 2020
Wanne Simba wacheza dakika zote VPL

Ligi Kuu ya Vodacom imesimama kupisha kalenda ya michuano ya Kimataifa inayotarajiwa kupigwa mwishoni mwa wiki

Katika mechi tano zilizopigwa, Simba imefanikiwa kushinda mechi nne na kutoka sare mchezo mmoja

Wachezaji wanne katika kikosi cha mabingwa hao wa nchi, wamefanikiwa kucheza dakika zote tisini kwenye kila mechi

Hapa tunawazungumzia Mlinda lango Aishi Manula, mabeki wa pembeni Mohammed Hussein na Shomari Kapombe pamoja na mlinzi wa kati aliyetua dirisha la usajili lililopita Joash Onyango

Pongezi nyingi tunaweza kumpa Kapombe kwani ametoka kwenye kipindi kigumu cha majeraha ya muda mrefu

Kuweza kucheza mechi tano mfululizo, inadhihirisha sasa amepona na msimu huu atakuwa msaada mkubwa kwa mabingwa hao wa nchi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
41m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’