Bia ya Serengeti Premium Lager leo imeingia makubaliano na kusaini mkataba na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) wa kuidhamini Timu ya Taifa 'Taifa Stars' kwa kipindi kingine cha miaka mitatu
Mkataba huo ni wa shilingi bilioni 3 za Kitanzania
ADVERTISE HERE