Fraga awashukuru mashabiki

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
6 Oct 2020
Fraga awashukuru mashabiki

Kiungo wa Simba Gerson Fraga amewasuhuru mashabiki wa klabu hiyo kwa kumtakia kheri katika kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa hapo jana

Fraga ambaye kwa sasa ni majeruhi, amesema hali yake inaendelea vizuri na pengine anaweza kuanza mazoezi mepesi baada ya wiki mbili

"Nafurahi mashabiki wengi wamenitakia kheri ya siku ya kuzaliwa. Nawaambia naendelea vizuri na siku sio nyingi nitaendelea kuwapa burudani uwanjani," alisema Fraga

Fraga alitarajiwa kuwa nje kwa wiki nne baada ya kupata majeraha kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Biashara United

Tayari amekosekana uwanjani kwa takribani wiki mbili

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
4h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
10h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
13h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’