Baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya JKT Tanzania jana, kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kimerejea jijini Dar es salaam tayari kuanza maandalizi kuelekea mchezo dhidi ya Yanga ambao utapigwa Oktoba 18
Aidha baadhi ya wachezaji wataondoka kwenda kujiunga na timu za Taifa kwa ajili ya mechi za kimataifa za kirafiki ambazo ziko kwenye kalenda ya FIFA
Simba imetoa nyota 12 wanaokwenda kujiunga na timu za Taifa


ADVERTISE HERE