Nyota Stars kuingia kambini leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 Oct 2020
Nyota Stars kuingia kambini leo

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limebainisha kuwa kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kinaingia kambini leo kujiandaa na mchezo wa Kimataifa wa kirafiki dhidi ya Burundi ambao utapigwa Oktoba 11 2020

Baadhi ya wachezaji wanaocheza nje ya nchi wanatarajiwa kuwasili kehsokutwa Jumatano

Nyota saba wa Simba ni miongoni mwa wachezaji wanaotarajiwa kuingia kambini leo

Wachezaji wa Simba waliojumuishwa kwenye kikosi hicho ni Aishi Manula, Shomari Kapombe, Mohammed Hussein, Jonas Mkude, Said Ndemla, John Bocco na Mzamiru Yassin

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’