Leo Jumatatu, Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo inatarajiwa kuendesha Semina ya mafunzo kwa wasemaji wa vilabu
Msemaji wa Serikali ambaye ndiye Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dk Hassan Abbasi anatarajiwa kuongoza Semina hiyo itakayofanyika uwanja wa Benjamin Mkapa

ADVERTISE HERE