Mchezo unaosubiriwa kwa hamu kati ya vinara wa ligi kuu ya Vodacom Simba na Azam FC unatarajiwa kuanza saa 10:30 jioni kwa saa za Afrika Mashariki.
Mchezo huo kwa kuwa unachezwa katikati ya wiki utachelewa kuanza ili kuwapa nafasi mashabiki kuushuhudia live baada ya kutoka makazini.
Mchezo huo unapigwa kwenye uwanja wa Taifa.

ADVERTISE HERE