FT : JKT Tanzania 0-4 Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Oct 2020
FT : JKT Tanzania 0-4 Simba

Ndio, ni mwendo wa vipigo tu hata yule anayefuata Oktoba 18 ajiandae kisaikolojia!

Ni ushindi wa kibabe ambao mabingwa wa nchi Simba wamepata mkoani Dodoma baada ya kuifumua JKT Tanzania mabao 4-0 katika mchezo uliopigwa dimba la Jamhuri

Kuizuia Simba hii inapaswa ufanye kazi ya ziada, lakini pale inapokuwa kwenye kiwango bora ni jambo lisilowezekana kabisa

Meddie Kagere 'MK 14' amerejea katika mawindo yake ya kiatu cha dhahabu kwa msimu wa tatu mfululizo akiweka kambani mabao mawili leo na kuongoza mbio za ufungaji bora akiwa na mabao manne

Chris Mugalu anatupia tu, kwani leo tena amefunga, hilo likiwa bao la tano katika mechi tano alizocheza katika kikosi cha Simba

Kwenye ligi ana mabao matatu

Mmakonde, Luis Miquissone baada ya kuwa mpishi wa mabao ya wengine, leo amefungua akaunti yake ya mabao msimu huu akiweka kambani bao la nne

Baada ya ushindi wa leo kikosi cha Simba kinatarajiwa kuianza safari ya kurejea jijini Dar es salaam ambapo nyota wake 12 wanatarajiwa kujiunga na timu za Taifa kwa ajili ya mechi za kirafiki

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’