Sita kuwakosa JKT Tanzania

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Oct 2020
Sita kuwakosa JKT Tanzania

Wakati jioni ya leo mabingwa wa nchi Simba wakitarajiwa kushuka kwenye uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma kuumana na JKT Tanzania, wanatarajiwa kuwakosa nyota sita kutokana na sababu mbalimbali

Taarifa iliyotolewa na Simba mapema leo, imebainisha kuwa nahodha John Bocco na Gerson Fraga wao watakosekana leo kwa kuwa ni majeruhi

Aidha Miraji Athumani, Kenneddy Juma, Francis Kahata na Charles Ilanfya hawakuwa kwenye mpango wa Mwalimu kuelekea mchezo huo

Hata hivyo kocha Sven Vandenbroeck ana kikosi kilichosheheni nyota mahiri ambao watahakikisha wanaondoka na alama zote tatu mkoani Dodoma

Β 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
1h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
7h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
21h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1d ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
2d ago
READ MORE β†’