Simba iliwasili mkoani Morogoro jana jioni ambapo msafara wa mabingwa hao wa nchi ulilala na asubuhi hii wanaondoka kuelekea mkoani Dodoma
Kesho Jumapili Simba itashuka uwanja wa Jamhuri kuikabili JKT Tanzania katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom
Wanasimba wa mkoa wa Dodoma wanaisubiri timu yao, hakuna shaka sapoti itakuwa kubwa pale 'Jamhuri Stadium'


ADVERTISE HERE