Klabu ya Simba imemjumuisha winga Bernard Morrison katika kikosi chake kinachoelekea mkoani Dodoma kwa ajili ya mchezo wa lig kuu dhidi ya JKT Tanzania ambao utapigwa keshokutwa Jumapili
Jana klabu ya Yanga ilifungua upya mashitaka ya mkataba wa nyota huyo, lakini Simba imesisitiza itaendelea kumtumia kwa kuwa ni mchezaji wao halali
Simba imeondoka Dar kuelekea mkoani Morogoro kwa mwaliko wa mashabiki na kisha wataendelea na safari ya Dodoma kesho Jumamosi

ADVERTISE HERE