Wachezaji wa saba wa kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba, wamejumuishwa katika kikosi cha Stars kitakachocheza na Burundi Oktoba 11 katika mchezo wa kirafiki
Nyota wa Simba walioitwa Stars ni Aishi Manula, Shomari Kapombe, Mohammd Hussein, Jonas Mkude, John Bocco, Mzamiru Yassin na Said Ndemla
Simba imetoa jumla ya wachezaji 12 katika timu za Taifa. Nyota watano wa kigeni nao wameitwa kwenye Mataifa yao
Luis Miquissone, Larry Bwalya, Clatous Chama, Francis Kahata na Joash Onyango

ADVERTISE HERE