Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba leo asubuhi kilifanya mazoezi ya mwisho kabla ya kuanza safari ya mkoani Dodoma
Simba itaondoka leo kuelekea mkoani Morogoro ambapo watalala na kesho kuendelea na safari ya mkoani Dodoma ambako siku ya Jumapili wanakabiliwa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya JKT Tanzania




ADVERTISE HERE