Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kinaondoka kesho Ijumaa kuelekea mkoani Dodoma tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya JKT Tanzania
Mchezo huo utapigwa Jumapili ya Oktoba 04 katika uwanja wa Jamhuri
Ni mchezo wa raundi ya tano ligi kuu ya Vodacom
ADVERTISE HERE