Bado hawajakata tamaa kwa Morrison?

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
1 Oct 2020
Bado hawajakata tamaa kwa Morrison?

Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela amedai kuwa mkataba wa Bernard Morrison na Simba una mapungufu hivyo wamelitaka Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) kuipokonya Simba pointi mechi zote ambazo Morrison alicheza

Katika Mkutano na Waandishi wa Habari mapema leo, Mwakalebela amedai kuwa mkataba wa Morrison aliosaini kuitumikia Simba August 14 hautambuliki na FIFA kutokana na mapungufu hayo

Aidha amesema mfumo wa usajili wa FIFA 'TMS' unamtambua Morrison kuwa mchezaji wa Yanga licha ya kuwa katika mfumo wa usajili wa TFF Morrison anasomeka kuwa mchezaji wa Simba

Uongozi wa Simba umesisitiza kuwa wameshamaliza kuhusu usajili wa Morrison, TFF walithibitisha usajili wake na hata huko FIFA anatambulika

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’