Raundi ya tano VPL wikiendi hii

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
1 Oct 2020
Raundi ya tano VPL wikiendi hii

Ligi Kuu ya Vodacom inaingia raundi ya tano mwishoni mwa wiki hii kwa mechi kadhaa kupigwa katika viwanja mbalimbali

Mabingwa wa nchi Simba wao watasubiri mpaka Jumapili, Oktoba 04 kule mkoani Dodoma watakapoikabili JKT Tanzania

Siku hiyo pia Azam Fc watacheza na Kagera Sugar mchezo utakaopigwa uwanja wa Azam Complex Chamazi

Azam na Simba zinafukuzana katika nafasi mbili za juu Azam wakiongoza ligi wakiwa na alama 12 Simba wakifuatia na alama zao 10 sawa na Yanga lakini Simba ikiwa na utajiri mkubwa wa mabao ya kufunga

Raundi ya tano itakamilishwa Jumatatu kwa mchezo kati ya KMC dhidi ya Polisi Tanzania

Ratiba kamili

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
3h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
3h ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
6h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1d ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1d ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’