TAARIFA YA SIMBA
Zoezi la kugawa kadi kwa mashabiki wetu waliopo jijini Dodoma linaendelea leo katika maeneo ya Kongwa, Kibaigwa na Chamwino.
Njoo na kitambulisho chako cha NIDA au kitambulisho cha mpiga kura pamoja na barua ya serikali ya mtaa.
Gharama ya kufungua akaunti ni Tsh. 22,000 lakini kama umepungukiwa usijali kwani unaweza kufungua ukiwa na Tsh. 5,000 na kiasi kilichobaki utamalizia taratibu
ADVERTISE HERE