Mechi dhidi ya Prisons yasogezwa mbele

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
1 Oct 2020
Mechi dhidi ya Prisons yasogezwa mbele

Mchezo wa ligi kuu kati ya Tanzania Prisons dhidi ya Simba ambao awali ulipangwa kupigwa Oktoba 11, sasa utapigwa Oktoba 22 mkoani Rukwa

Oktoba 11 timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' itacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Burundi

Kulingana na ratinba mpya iliyotolewa na Bodi ya Ligi, baada ya mchezo dhidi ya JKT Tanzania, Jumapili Oktoba 04 ambao utapigwa mkoani Dodoma, mchezo utakaofuata ni dhidi ya Yanga Oktoba 18

Simba inatarajiwa kuelekea mkoani Dodoma kesho Ijumaa, tayari kwa mchezo dhidi ya JKT Tanzania

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
14h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
20h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
23h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’