Simba yaandika barua TFF kulaani vitendo vya mashabiki kupigwa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Sep 2020
Simba yaandika barua TFF kulaani vitendo vya mashabiki kupigwa

Uongozi wa klabu ya Simba umeandika barua kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) wakilaani vitendo vya mashabiki wa klabu ya Yanga kuwafanyia vurugu pamoja na kuwapiga mashabiki wa Simba wanaofika viwanjani kutazama mechi zao

Tukio lililotokea mkoani Morogoro juzi limepelekea Mtendaji Mkuu wa Simba Barbara Gonzalez kuiandikia barua TFF akitaka hatua zichukuliwe

Aidha taarifa iliyotolewa na klabu ya Simba mapema leo, imebainisha kuwa Barbara alifanya mazungumzo na Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga kwa nia ya kutaka kuona klabu hiyo inachukua hatua kuwadhibiti mashabiki wake

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
4h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
19h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
22h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
2d ago
READ MORE β†’