Kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya JKT Tanzania ambao utapigwa mwishoni mwa wiki, uongozi wa klabu ya Simba umewataka mashabiki wa mkoani Dodoma kuchangamkia kadi za mashabiki
Gari maalum linapita maeneo mbalimbali mkoani Dodoma ambapo mashabiki watapatiwa huduma hiyo
Maeneo ambayo gari hilo linapita;
Maji Mkuu
Mjengoni
Kisiwe stendi ya mkoa
Veyula
Handali
Sabasaba
Iyumba
Mjengo sokoni
Makuru
Terminal

Aidha, siku ya mechi gari hilo litakuwepo uwanja wa Jamhuri ili kuhakikisha kila Mwanasimba anapata kadi
ADVERTISE HERE