Maproo Simba wajumuishwa timu za Taifa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Sep 2020
Maproo Simba wajumuishwa timu za Taifa

Luis Miquissone, Joash Onyango na Francis Kahata wamejumuishwa katika vikosi vya Mataifa yao kuelekea michezo ya kirafiki itakayopigwa mwezi wa 10 ambayo kwenye kalenda ya FIFA

Miquissone ameitwa timu ya Taifa ya Msumbiji wakati Kahata na Wawa wameitwa timu ya Taifa ya Kenya

Wengine wanaosubiri wito kama huo ni fundi Clatous Chama, Larry Bwalya (Zambia) na Meddie Kagere (Rwanda)

Kwa upande wa Tanzania, kocha Etienne Ndayiragije anatarajiwa kutangaza kikosi chake Oktoba 02 ambacho kinatarajiwa kujumuisha nyota kadhaa kutoka klabu ya Simba

Stars itacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Burundi, Oktoba 11 mchezo utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
5h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
19h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
23h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
2d ago
READ MORE β†’