Uchebe kapata kazi South

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Sep 2020
Uchebe kapata kazi South

Aliyewahi kuwa kocha mkuu wa Simba Patrick Aussems jana alisaini mkataba wa miaka mitatu kuifundisha timu ya Black Leoprads inayoshiriki ligi kuu Afrika Kusini

Aussems hakuwa na timu tangu alipofurushwa na Simba mwishoni mwa mwaka uliopita nafasi yake ikichukuliwa na Sven Vandenbroeck

Wanasimba wataendelea kumkumbuka kwa mafanikio aliyopata hapa nchini akiwa na wababe hao wa soka la nchi hii

Alishinda Ngao ya Jamii mara mbili, taji la ligi kuu na pia kufika robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika

Kila la kheri katika majukumu yake mapya huko Bondeni

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
4h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
19h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
22h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
2d ago
READ MORE β†’