Sven awapa pongezi washambuliaji wake

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Sep 2020
Sven awapa pongezi washambuliaji wake

Kocha Mkuu wa timu ya Simba, Sven Vandenbroeck amesema anafurahia kiwango kinacho onyeshwa na uwezo wa washambuliaji wake ndani ya kikosi.

Sven amesema kila mshambuliaji anayempa nafasi amekuwa akifunga mabao kitu ambacho kitamsaidia katika michuano ya kimataifa.

Simba ina washambuliaji wanne ambao wote wameonyesha uwezo mkubwa wa kufunga kila wanapopewa na nafasi ya kucheza.

"Nafurahishwa sana uwezo wa washambuliaji wangu ndani ya Simba. Tunaye John Bocco, Medie Kagere, Chris Mugalu na Charles Ilamfia ambao wote wanafunga.

"Tunaelekea kwenye michuano ya kimataifa hivyo kwa kasi ya washambuliaji wetu nadhani itakuwa ni faida kubwa kwa timu," amesema Kocha, Sven.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
2h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
14h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
20h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
22h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’