Semina elekezi kwa wafanyakazi Simba Sc

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Sep 2020
Semina elekezi kwa wafanyakazi Simba Sc

Uongozi wa klabu ya Simba leo umeendesha Semina elekezi kutoa mafunzo kwa wafanyakazi wa klabu ya Simba kuhusiana na masuala mbalimbali

Mtendaji Mkuu wa Simba Barbara Gonzalez alisimamia Semina hiyo ambayo iliwakutanisha wachezaji na wafanyakazi wa kawaida wa klabu ya Simba

Barbara amerejea hivi karibuni akitokea nchini Misri ambako alisaini makubaliano ya ushirikiano kati ya Simba na vigogo wa Afrika, Al Ahly

Barbara pia alitembelea Makao Makuu ya Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) pamoja na klabu ya Zamalek

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
9h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
15h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’