Huyu Sven tumuache afanye kazi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Sep 2020
Huyu Sven tumuache afanye kazi

Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck ameendelea kuwapa raha mashabiki kwa timu yake kucheza kandanda la kuvutia huku ikirejesha utamaduni wa kufunga mabao mengi

Wiki chache nyuma kulikuwa na malalamiko kutoka kwa baadhi ya mashabiki wakimtaka Mbelgiji huyo atumie washambuliaji wawili, lakini aliweka msimamo kuwa atatumia mbinu yoyote ilimradi timu ipate ushindi

Ndicho kinachotokea sasa kwani ameendelea kutumia mshambuliaji mmoja na timu imefunga mabao saba katika mechi mbili zilizopita

Walianza kwa kuwabugiza Biashara United mabao 4-0 na kisha jana kuilaza Gwambina Fc mabao 3-0

Mfumo wake wa 4-2-3-1 umeonyesha kuwa na mafanikio kwani unatoa nafasi kwa timu kumiliki mpira na hivyo kila mchezaji kuwa na nafasi ya kufunga

Mabao ya Simba sasa yanatoka kila upande, kutoka kwa mabeki, viongu na washambuliaji

Nadhani Wanasimba wana kila sababu ya kumuamini kocha huyu, kwani Simba yake imezidi kuimarika na kucheza kandanda bora sana

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’