Mabingwa wa soka nchini Simba saa moja usiku watashuka kunako uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Gwambina Fc katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom
Kocha Sven Vandenbroeck ameanza na kikosi hiki katika mchezo wa leo;

ADVERTISE HERE