Katika moja ya mahojiano yake na Wanahabari, Mkurugenzi wa ufundi wa klabu ya Gwambina FC Mwinyi Zahera alisema kuwa hahofii kukutana na klabu ya Simba leo
Zahera aliyewahi kuwa kocha wa Yanga alikwenda mbali zaidi kwa kusema kuwa ataamini kuwa Simba ni timu bora kama itamfunga kuanzia mabao 16
Mcongomani huyu anafahamika kwa maneno yake mengi mbele ya waandishi wa habari, hakuna shaka leo Simba watampa zawadi anayostahili
ADVERTISE HERE