Simba imetangaza vituo ambavyo unaweza kujipatia tiketi ili siku ya kesho uweze kuwa mmoja wa watakaokuwa ndani ya uwanja wa Benjamin Mkapa kushuhudia burudani kutoka kwa mabingwa wa nchi
Mashabiki wameaswa kununua tiketi mapema ili kuepuka usumbufu wa aina yoyote ambao unaweza kujitokeza pale uwanjani

ADVERTISE HERE