Dozi ya Gwambina inaandaliwa Mo Simba Arena

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 Sep 2020
Dozi ya Gwambina inaandaliwa Mo Simba Arena

Jana Simba iliendelea na maandalizi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Gwambina Fc ambao utapigwa kesho Jumamosi kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, saa moja usiku

Kocha Mkuu wa Mabingwa hao wa nchi Sven Vandenbroeck alisimamia mazoezi hao ambayo kama kawaida yanafanyika uwanja wa Mo Simba Arena

Simba imepania kuendeleza dozi dhidi ya vijana wa Gwambina waliopanda daraja msimu uliopita

Gwambia wako jijini Dar es salaam tangu wiki iliyopita baada ya mchezo wao dhidi ya Ruvu Shooting

Mkurugenzi wa Ufundi wa timu hiyo Mwinyi Zahera ametamba kuwa wamekuja jijini Dar es salaam kushindana na Simba

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
12m ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
3h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
8h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
22h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1d ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’