TFF yaja na mradi wa Ujenzi Academy za kisasa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 Sep 2020
TFF yaja na mradi wa Ujenzi Academy za kisasa

Jana Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) liliingia mkataba wa Ujenzi wa Academy za soka mikoani ya Dar es salaam na Tanga kwa ushirikiano na kampuni ya Group Six International

Mradi huo uliofadhiliwa ma FIFA, unatarajiwa kukamilika katika kipindi cha miezi 12

Vituo hivyo vitakuwa na hadhi ya Kimataifa na vitatumika kukuza vipaji vya vijana wa Kitanzania

Hii ni hatua muhimu sana katika kuimarisha mfumo wa kukuza vipaji vya wachezaji wadogo nchini

Nchi zote zilizojiimarisha katika soka, zimekuwa na mifumo ya aina hii ya kuwalea na kuwakuza wachezaji katika misingi sahihi ya soka

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
11h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’