Majeruhi kumuweka nje Fraga wiki tatu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 Sep 2020
Majeruhi kumuweka nje Fraga wiki tatu

Uongozi wa klabu ya Simba umethibitisha kuwa kiungo wake raia wa Brazil Gerson Santos Fraga atakuwa nje kwa wiki tatu kutokana na majeraha aliyopata kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Biashara United

Taarifa iliyotolewa na Simba imebainisha kuwa baada ya kufanyiwa vipimo, imebainika kuwa Fraga alipata majeraha ya kawaida ambayo yatamlazimu kuwa nje kwa wiki tatu

Nyota huyo hatafanyiwa upasuaji wa goti, atapata matibabu ya kawaida kulingana na jeraha alilopata

Mwamba huyo hatakuwa sehemu ya kikosi cha Simba mchezo wa Jumamosi dhidi ya Gwambina Fc pia anaweza kukosa michezo mingine ukiwemo ule wa Yanga utakaopigwa Oktoba 18

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’