Simba kuingia kambini kuiwinda Gwambina Fc

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Sep 2020
Simba kuingia kambini kuiwinda Gwambina Fc

Mabingwa wa soka nchini klabu ya Simba leo inaingia kambini kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Gwambina Fc ambao utapigwa Jumamosi, Septemba 26, uwanja wa Benjamin Mkapa

Baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Biashara United, wababe hao wa soka nchini wamepania kuendeleza wimbi la ushindi dhidi ya kikosi cha Gwambina waliopanda daraja msimu uliopita

Jana Simba ilicheza mchezo wa kujipima nguvu dhidi ya African Lyon na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0

Meneja wa Simba Patrick Rweyemamu amesema wanaingia kambini leo kukamilisha maandalizi yao ya mchezo wa Jumamosi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’