Mabingwa watakuwa uwanja wa Azam Complex leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
22 Sep 2020
Mabingwa watakuwa uwanja wa Azam Complex leo

Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba jioni ya leo kinashuka uwanja wa Azam Complex, Chamazi jijini Dar es salaam kucheza na ndugu zao African Lyon ukiwa ni mchezo wa kirafiki

Hii ni mechi ya kiufundi zaidi ambapo kocha Sven Vandenbroeck anaendelea kunoa makali ya wachezaji wake hasa wale ambao hawapati nafasi ya mara kwa mara kwenye kikosi cha kwanza

Viingilio vya mchezo huo, VIP ni Tsh 5,000/- na Mzunguuko ni Tsh 3,000/-

Tiketi zinapatikana uwanjani Chamazi pamoja na Mbagala rangi tatu

Mchezo utapigwa kuanzia saa 10:00 jioni

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
40m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
4h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
18h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
21h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
2d ago
READ MORE β†’