CEO Simba atembelea Al Ahly

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
22 Sep 2020
CEO Simba atembelea Al Ahly

Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba jana alipata nafasi ya kutembelea Makao Makuu ya miamba wa Afrika, klabu ya Al Ahly nchini Misri

Imeelezwa Barbara amefanya ziara hiyo kujionea uendeshwaji wa klabu hiyo kubwa na yenye mafanikio barani Afrika na mikakati yao kiutendaji.

Dhumuni la safari hiyo ni kujenga mahusiano ya kiutendaji kati ya vilabu hivyo katika nyanja mbalimbali

Huu ni mwanzo mzuri kwa bosi huyo wa Simba, ni mwanzo wa utekelezaji wa ahadi aliyoitoa kuifanya Simba kuwa brand kubwa barani Afrika

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’