Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania bara Simba, kesho Jumanne Septemba 22 kitashuka kwenye uwanja Azam Complex, Chamazi kujipima nguvu na African Lyon
Mchezo huo ambao utapigwa saa kumi jioni ni maalum kwa ajili ya kuwaweka sawa wababe hao wa soka nchini kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Gwambina ambao utapigwa mwishoni mwa wiki hii uwanja wa Benjamin Mkapa
ADVERTISE HERE