Chama, heshima kwake, Miquissone hatari..!

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
21 Sep 2020
Chama, heshima kwake, Miquissone hatari..!

Jana usiku Wanasimba walishuhudia moja ya michezo bora kutoka kwa timu yao pale ilipoifumua Biashara United mabao 4-0 katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Ulikuwa usiku wa mafundi! Simba hii inapokuwa hapo kwa Mkapa wapinzani wajipange kwelikweli

Ulikuwa usiku wa Mzambia Clatous Chama, huyu Mwamba wa Lusaka kwa kweli sio levo za kucheza soka la Afrika

Ni mchezaji aliyekamilika kiufundi, mabao yake mawili pamoja na kiwango bora alichoonyesha jana kinadhihirisha kwa sasa hana wa kufanana nae hapa nchini

Lakini achana na Chama, Mmakonde Luis Miquissone ndiye aliyewavuruga zaidi Biashara United na kumfanya Chama apendeze uwanjani

Ushirikiano wake na Wazambia Chama na Larry Bwalya lilikuwa tatizo kubwa kwa Biashara United

Kwa hakika Wanamsimbazi wana kila sababu ya kujivunia usajili wa huyu mtu, msimu huu unaweza kuwa wa historia kwa Simba hasa kule kwenye michuano ya ligi ya mabingwa

Kasi yake na uwezo mkubwa wa kutembea na mpira, ubunifu na uwezo wa kutumia miguu yote miwili unamfanya Miquissone kuwa mchezaji wa kipekee katika kikosi cha Simba

Kama Simba itaendelea kucheza hivi, nadhani huu ni msimu mwingine Wanamsimbazi watashangilia 'treble'

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
29m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’