Manara kukaa na mashabiki Jukwaa la Mzunguuko

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 Sep 2020
Manara kukaa na mashabiki Jukwaa la Mzunguuko

Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Haji Manara amewataka mashabiki wa mabingwa hao wa nchi kujitokeza kwa wingi uwanja wa Benjamin Mkapa kushuhudia kandanda safi kutoka kwa timu yao itakapokuwa ikiumana na Biashara United katika mchezo wa ligi kuu ambao utapigwa saa moja usiku

Manara amesema atakuwa sambamba na mashabiki Jukwaa la Mzunguuko kushuhudia burudani na kushangilia pamoja ushindi

"Wanasimba njooni muone tofauti ya butua butua na kupiga mbele na mpira, Njooni mjidai na soka lenu maridhawa lenye radha ya Amerika Kusini. Hakuna kubutua hovyo wala hakuna mbeleko za kichale"

"Nitakaa na nyinyi mzunguko kuhamasisha wachezaji wetu, Pira biriani, Pira Sambusa, Pira kababu sio Pira lao Gimbi la chukuchuku," alitamba Manara

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
14h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
20h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
23h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’