Mlinda lango wa Simba Said Mohammed 'Nduda' amerejea kikosini baada ya kupona majeraha yake.
Nduda aliyesajiliwa na Simba mwanzoni mwa msimu huu kutoka Mtibwa Sugar hakuwahi kuitumikia timu yake hiyo mpya baada ya kuumia wakati wa maandalizi ya mchezo wa ngao ya Jamii mwezi August 2017.
Baadae alisafirishwa nchini India kwa matibabu zaidi ya jeraha la goti lililokuwa linamsumbua.
Amejumuika kwa mara ya kwanza kwenye kikosi cha Simba kinachojifua kwenye uwanja wa Boko jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo wa ligi ya Vodacom dhidi ya Azam FC.

ADVERTISE HERE