Mabingwa wa nchi Simba kesho Jumapili watashuka kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Biashara United katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom
Mchezo huo utapigwa kuanzia saa moja usiku
Uongozi wa klabu ya Simba umewaalika mashabiki wake wajitokeze kwa wingi kushuhudia burudani kutoka kwa machampioni hao wa Taifa hili kwa misimu mitatu mfululizo
"Kesho ni siku ya burudani kwa Wanasimba, siku ya kuwakera wasiopenda mafanikio ya mabingwa wa nchi. Wanasimba tunajua sehemu ya kukutana kufurahi"
ADVERTISE HERE