Kiungo mshambuliaji wa pembeni Shiza Kichuya amesema kwa sasa malengo yake ni kuisaidia klabu yake ya Simba kushinda taji la ligi kuu ya Vodacom pamoja na kufanya vizuri kwenye michuano ya CAF.
Akizungumza baada ya mchezo wa kirafiki kati ya Tanzania dhidi ya Malawi, ambapo aliulizwa kuhusu hatma yake kwenda kusakata kabumbu nje ya nchi, Kichuya alisema wakati wake bado haujafika.
Aidha winga huyo mahiri anayetumia mguu wa kushoto amesema hajapokea ofa rasmi kutoka nje ya nchi licha tetesi zinazomuhusisha kutakiwa nchini Misri.

ADVERTISE HERE