Kiingilio bwerere mechi ya Biashara United

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Sep 2020
Kiingilio bwerere mechi ya Biashara United

Wanamsimbazi tushindwe wenyewe kwenda kuiunga mkono timu yetu kwenye mchezo dhidi ya Biashara United ambao utapigwa Jumapili Septemba 20 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Ukiwa ni mchezo wa kwanza kwa Simba kucheza kwenye uwanja wake wa nyumbani msimu msimu huu, mabingwa hao wa nchi wameweka viingilio rafiki sana

Kwa Tsh 3,000/- tu unaweza kuwashuhudia miamba hao wa soka nchini wakitandaza kandanda la viwango pale dimba la Mkapa

Kule VIP ni Tsh 15,000/-, VIP B ni Tsh 10,000/- na VIP C ni Tsh 5,000/-

Simba imepania kurejea nyumbani kibabe kwa kuibuka na ushindi mnono dhidi ya Biashara United Jumapili

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’