Pichani juu, mawinga hatari wa Simba Luis Miquissone na Bernard Morrison wakiwa pamoja kabla ya mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar
Wote walitua nchini mwezi Januari, usajili wao ulikuwa gumzo, Miquissone akitua Simba na Morrison akitua Yanga
Hata hivyo umafya ukafanyika kumn'goa Morrison pale Jangwani na sasa nae anafurahi maisha mitaa ya Msimbazi..!
Wawili hawa wanatarajiwa kuongoza mashambulizi siku ya Jumapili kwenye mchezo dhidi ya Biashara United
Mchezo unapigwa uwanja wa Mkapa, mahali ambapo sio rahisi kwa timu yoyote kuponyoka mbele ya mnyama Simba..!
ADVERTISE HERE