Mechi tano zijazo za Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Sep 2020
Mechi tano zijazo za Simba

Baada ya kuumana na Biashara United Jumapili katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa, mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba wataendelea kubaki jijini Dar es salaam mpaka Septemba 26 watakapoumana na Gwambina Fc

Baada ya mchezo huo Simba itasafiri mkoani Dodoma kuifuata JKT Tanzania katika mchezo ambao utapigwa uwanja wa Jamhuri, Oktoba 04

Mchezo utakaofuatia ni dhidi ya Tanzania Prisons mkoani Mbeya Oktoba 10

Kisha mabingwa watarejea Dar tayari kwa dabi ya kwanza msimu huu dhidi ya Yanga, Oktoba 18

Michezo dhidi ya JKT Tanzania, Tanzania Prisons na Yanga Simba itakuwa ugenini

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
7h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’