Morrison aonja raha ya kuwa mchezaji wa Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 Sep 2020
Morrison aonja raha ya kuwa mchezaji wa Simba

Winga wa Simba Bernard Morrison amekabidhiwa gari mpya aina ya Nissan yenye thamani ya zaidi ya Tsh Milioni 14

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii, Morrison amemshukuru Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' kwa kumnunulia gari hilo pamoja na kuwajali wachezaji wa klabu ya Simba

"Asante sana Bosi Mo, wewe ni kiongozi unaewajali wachezaji wako, " aliandika Morrison

Morrison tayari ameanza ku-enjoy maisha ya kuwa mchezaji wa Simba, kwani huko alikokuwa akicheza awali, vitu kama hivi alikuwa akivisikia tu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
11h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
14h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
21h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’