Jumapili 'kero' zinarejea kama kawaida

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 Sep 2020
Jumapili 'kero' zinarejea kama kawaida

Habari ndio iyo, mabingwa wa nchi Simba Jumapili Septemba 20, 2020 wanarudi uwanja wa nyumbani kuumana na Biashara United katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Baada ya kutoka sare mchezo uliopita, maneno mengi sana yamesemwa, lakini kocha Sven Vandenbroeck pamoja na vijana wake, wamejipanga kunyamazisha kelele zote

Simba tayari imerejea mazoezini leo kujiandaa na mchezo huo wa kwanza kwenye uwanja wa nyumbani msimu huu

Hiyo siku ya Jumapili kuna watu hawataingia kwenye mitandao ya kijamii, maana Simba wakiamua kufanya jambo lao, hakuna wa kuwazuia

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Goli la ushindi dhidi ya Fountain Gate; FT : Fountain Gate 0-1 Simba
Goli la ushindi dhidi ya Fountain Gate; FT : Fountain Gate 0-1 Simba
11h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Fountain Gate 1-0 Tanzanite Kwaraa
Simba mwendo mdundo, yaichapa Fountain Gate 1-0 Tanzanite Kwaraa
12h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Fountain Gate vs Simba, NBC PL, Oct 29
Kikosi : Fountain Gate vs Simba, NBC PL, Oct 29
15h ago
READ MORE β†’
Kamati ya uchaguzi Simba imesisitiza, mchakato unaendelea
Kamati ya uchaguzi Simba imesisitiza, mchakato unaendelea
15h ago
READ MORE β†’
Mangungu aibuka, apinga mchakato wa uchaguzi Simba
Mangungu aibuka, apinga mchakato wa uchaguzi Simba
17h ago
READ MORE β†’
Matchday; Fountain Gate vs Simba, NBC PL
Matchday; Fountain Gate vs Simba, NBC PL
18h ago
READ MORE β†’
Tutapambana tuvuke mtoano - Barker
Tutapambana tuvuke mtoano - Barker
18h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
23h ago
READ MORE β†’
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’