Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba kimerejea mazoezini leo kuanza maandalizi ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Biashara United ambao utapigwa Jumapili, Setemba 20 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam
Baada ya mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar, kocha Sven Vandenbroeck aliwapa wachezaji wake mapumziko ya siku moja
Baada ya kupunguzwa kasi na Mtibwa Sugar, mabingwa hao wa nchi wamepania kurejea jijini Dar es salaam kibabe kwa kupata ushindi mnono dhidi ya Biashara United
ADVERTISE HERE