Mo kuwachukulia hatua wanaotumia vibaya jina lake

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 Sep 2020
Mo kuwachukulia hatua wanaotumia vibaya jina lake

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji amewatahadharisha wale wanaotumia jina lake kwa kufanya uchonganishi kwenye mitandao ya kijamii

Mo amesema kumekuwa na watu hasa kwenye mtandao wa Twitter wanaotumia jina lake kuweka jumbe zenye lengo la kuwapa taharuki mashabiki wa Simba

Amebainisha tayari taratibu za kuwasaka na kuwachukulia hatua wahusika zinaendelea

Ili uwe na uhakika wa taarifa za Mo, hakikisha akaunti yoyote ya Mo unayoifuata kwenye mitandao ya kijamii (Twitter na Instagram) imethibitishwa na kuwa na tiki ya blue

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Matchday; Fountain Gate vs Simba, NBC PL
Matchday; Fountain Gate vs Simba, NBC PL
6m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
2h ago
READ MORE β†’
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
18h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
18h ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
21h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1d ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’